October 11, 2012

FRESH FARMS (T) SASA TUMEINGIA DAR ES SALAAM!

Hivi karibuni Fresh Farms (T) tulitangaza kupitia mitandao ya kijamii, magazeti na redio; nia yetu ya kuwasaidia wawekezaji wanaopenda kujikwamua kiuchumi kupitia kilimo cha miti; kwa kuuza baadhi ya mashamba yetu-yaliyopo Iringa. Kumekuwa na mwitikio mkubwa sana kutoka ndani na nje ya nchi. Juzi tumepokea madaktari waandamizi wanne kutoka Muhimbili ambao wamefika kuchangamkia fursa hii. Tunazo oda nyingi kutoka ndani na nje ya nchi za watanzania wanaotaka kuwekeza kwenye biashara hii "hot" na isiyotazamiwa kushuka. Jambo la kuvutia ni kwamba Fresh Farms (T) tunaendelea kukupa ushauri wa kitaalamu, tunakusaidia kutunza shamba lako na wakati wa kuvuna tunaahidi kukukodisha vifaa vyetu kwa gharama nafuu sana. Kwa kuwa zoezi hili tunalifanya kwa kipindi maalumu tu, nimeona si vibaya nikawakumbusha, hasa vijana msije mkapitwa na mkondo huu wa hela; huko mbeleni mje kujilaumu. Ili kukurahisishia tumesogeza huduma zetu Dar es Salaam; ambapo sasa unaweza kumpigia ama kumtembelea ofisini Afisa Masoko wetu Ndg Markus Mpangala (0764 93 66 55) kwa ushauri, maelezo na biashara. Fresh Farms (T), For greener world and fresh life!

1 comment:

Maoni yako