June 20, 2013

KARIBUNI NYASA, KARIBUNI LIULI

Ni jioni sasa. jua linazama hapa Liuli, huu ndio mwonekano wake nyakati hizi. Hapa ni ziwani kabisa yaani pwani ya ziwa nyasa eneo la Liuli. Picha hii inaonyesha namna gani hali ilivyo katika maeneo ya Nyasa na inavyovutia watalii. Watalii wengi huvutiwa sana na hali hii na mara nyingi huwa na kamera zao wakipiga picha za kumbukumbu. Nyasa ni Wilaya mpya lakini ina mengi ya kusisimua. Karibuni wageni na karibuni wenyeji pia.

PICHA; Joseph Ndomondo, Liuli.

1 comment:

Maoni yako