June 20, 2013

MKUTANO WA WENYEJI WA WILAYA YA NYASA WANAOISHI JIJINI DAR ES SALAAM


Habari ndugu zangu Wanyasa. 

Ninachukua nafasi hii kuwapeni taarifa kuwa tutakuwa na mkutano wa Wanyasa kitakachofanyika tarehe 22/6/2013 saa 9.00 alasiri(mchana) katika Ukumbi wa Mansuetus, Msimbazi Mission(Center). Dhumuni la mkutano huo ni kupeana taarifa ya Harambee na safari ya uzinduzi Wilaya. Tafadhali tunaomba umwarifu na mwenzako. Tunashukuru kwa ushirikiano wako ndugu yetu na tunaomba msikose kwenye mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako