June 24, 2013

RAHA SANA UKIWA NYASA

Wananchi wakiwa Fukwe safi sana. Hizo ni harakati za Mboga, hapo ni jana nilipotembelea forodha ya Ndengele majira ya Mchana na kufurahi sana. Nlipewa Samaki wa elfu 2 wengi sana. VITUI Mbamba bay watano mia 5 ila Ndengele samaki wa5 ni sh. Mia 2.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako