June 24, 2013

BIO CAMP, MOJAWAPO YA SEHEMU BORA YA KUOGELEA NYASA


Na Vitus Matembo, Mbamba Bay

Bango linaloonyesha kuwakaribisha wageni na wenyeji kuogelea katika beach ya  Bio Camp.

 
Kwakweli ni hali ya Faraja kuwa na Sehemu ya Kijanja na nzuri ya KITALII kama ya eneo la Bio camp iliyopo katika fukwe za kijiji cha Ndengele-Nyasa. 

Mandhari safi,upepo mwanana,unaona ukweli wote juu ya kisiwa na view nzima ya Ghuba.Majengo yamejengwa kwa ufundi mzuri. HEBU PATA MUDA NENDA ukajionee MWENYEWE!.

2 comments:

  1. Kazi nzuri. Mimi ni mmoja wale ambao hatuijui Ndengele. Nimefika Mbambabay, Liuli, na Mango. Je, Ndengele iko karibu na Mbambabay au la? Na kama ni mbali, ni kwenye maili ngapi, na kuelekea upande upande upi?

    Vile vile, huduma za hapo bio camp ni zipi? Kuna vivutio vyovyote sehemu hii ya Ndengele au sehemu za karibuni? Taarifa za namna hii ni muhimu katika kutangaza utalii. Inabidi zijumlishwe katika tangazo kama hili.

    ReplyDelete
  2. Ndengele ni kijiji kilichopakana na Mbamba bay, unapoelekea Liuli baada ya kupita S/M MBAMBA BAY, Beach ya BIO CAMP ipo KM 6 toka Mjini Mbamba bay. Huduma zitolewazo ni nyingi; Malazi,Chakula, Kuogelea,Vinywaji baridi/moto n.k!.

    ReplyDelete

Maoni yako