June 07, 2013

UVIVU WACHANGIA UMASKINI NYASA


Na Vitus Matembo

Mapema mwezi huu Dc wetu (Ernest Kahindi) alsema wananchi wengi wa ukanda wa Nyasa ni maskini kutokana na UVIVU:
*Hawatumii ipasavyo ardhi nzuri, mabonde na mito isiyokauka.
*Miundo mbinu ya umwagiliaji ya Mbamba bay, Ngumbo na Lundo haitmiki.
*Wanalima kwa masaa mawil au matatu.
*Huenda shambani saa 12 au 1 ila saa 3 wamerudi majumbani hvyo mavuno huwa kiduchu tofauti na maeneo mengne.
*80% ya wanafunzi wa p/s hawana VIATU.hvyo kupata safura,vitumbo na hata kufa SABABU YA UVIVU WA WAZAZI WAO.
"NYASA ITAJENGWA NA WANANYASA WENYEWE"
Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Ernest kahindi.

2 comments:

 1. Anonymous07 June, 2013

  There are several advantages to best consolidation loans and
  you find all you need to find one that suits your requirements.

  Usually, long-term consolidation loans are expensive.


  Feel free to surf to my page consolidation loans for bad credit

  ReplyDelete
 2. Anonymous09 June, 2013

  Step One: Eyes and SmilesThe first step is to never become friends with your ex how do you get
  a girlfriend that you are okay with it. I hope this isn't anything new to you, since you asked, I'll be happy to give advice be it
  intentional or not. You've discovered passions and desires that every guy has.

  Feel free to surf to my page; how to get a girlfriend

  ReplyDelete

Maoni yako