September 02, 2013

USAFIRI WA MBAMBA BAY KWENDA LITUHI


Usafiri wa Mbamba Bay - Lituhi kila Jumanne, Alhamisi na Jumamosi.
Sasa huduma ya usafiri toka Mbamba Bay hadi Lituhi unapatikana kwa siku tajwa hapo juu. Hii imesaidia sana kuondoa usumbufu wa kuisubiria meli.
KARIBU MAENDELEO KATIKA WILAYA YETU YA NYASA.3 comments:

 1. Shukrani kwa taarifa hii. Sikujua kuwa kuna barabara ya Mbamba Bay hadi Lituhi. Nilichojua tu ni kuwa unaweza kufika maeneo kama Liuli na Mango. Kwamba unaweza kuendelea hadi Nkili na mbele zaidi ni habari mpya kwangu, habari njema.

  Mimi ni mwenyeji wa Litembo, na kwa hivi ni mfuatiliaji wa karibu wa masuala haya ya Nyasa.

  ReplyDelete
 2. Sasa usafiri wa moja kwa moja upo hadi lituhi upo!.

  ReplyDelete
 3. Sasa usafiri wa moja kwa moja upo hadi lituhi upo!.

  ReplyDelete

Maoni yako