January 29, 2014

NGOMA YA MHAMBO ASILI YA WAMATENGO

Kabila la Wamatengo ni wenyeji wa wilaya ya Mbinga. Hawa ndiyo watu halisi walioishi miaka mingi na ndiyo jamii za mwanzo iliyoundwa na akina Makita. 

Jamii hizo zinaelezwa kuishi kwenye miti kufuatia kushindwa mapigano na maadui zao Wazulu. Lakini jambo muhimu hapa ni kwamba pichani kama wanavyoonekana, wananchi wanacheza ngoma mashuhuri ya utamaduni wao, Mhambo. Ni ngoma inayoependwa na wengi kama ulivyo Mganda kwa Wanyasa na wagoni.

Puicha, kwa hisani ya William Mpangala.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako