January 29, 2014

WAZIRI SIMBA NDANI YA NYASA

Waziri Sophia Simba (mwenye vazi la kijani na njano katikati) alipokuwa ziarani wilayani Nyasa. Hapo alikutana na wanafunzi wa shule ya msingi Kihagala, iliyopo Kihagala. Ziara hiyo ilikuwa moja ya kufanya ukaguzi wa maendeleo ya jamii.

Picha na William Mpangala.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako