February 18, 2014

WATALII WAKIJIPUMZIKA KATIKA FUKWE ZA LIULI, NYASA

Watalii wakiwa wamepumzika katika fukwe za mji wa Liuli uliopo wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma. Fukwe za ziwa Nyasa zinapendwa na watu mbalimbali.
 

No comments:

Post a Comment

Maoni yako