June 27, 2014

NI WAKATI WAKO WA KUNG'AA-KITABUUkitoa pasi ya goli ni kama umefunga. Nikiwa mhariri wa vitabu ni kama nimetunga na hakika nimechangia maandiko yangu humu. 

Nashukuru kazi hii imekamilika, sasa mnaweza kuisoma popote ulipo Tanzania.
Ni kitabu chenye sura 12, kurasa 174 na kinapatikana kwa shilingi 15,000/= (elfu kumi na tano tu). Kwa Dar es Salaam & Mbeya, piga, 0755199291 (Samson Nyaluke) au wasiliana nami utaelekezwa/utaletewa ulipo. Kwa maeneo mengine nchini piga simu nambari 0719 127 901.

2 comments:

  1. Hongera. Nami kama mwandishi, nakutakia kila la heri.

    ReplyDelete
  2. Mpangala, jibu la lile chemsha bongi nililiona hapo mbeleni ni "MFANO"

    ReplyDelete

Maoni yako