September 29, 2014

NYUSO WAHAMAISHA ELIMU NYASATaarifa ya James David Kawonga Jr, ilisema


“Nashukuru sana NYUSO (Nyasa University student Organization)...

Tumefanikiwa kuhamasisha elimu mashuleni mkakati ukiwa wa mwanzo kwa kuanzia na shule za sekondari za Mbamba bay, Limbo, St Pauls na Kituo fulani Liuli.

Gharama ni kubwa na hakuna muwezeshaji mkubwa ila ni sisi wenyewe wanafunzi, ilikuwa ya fanaka maana vijana kweli wanahitaji kuhamasishwa.


No comments:

Post a Comment

Maoni yako