September 15, 2017

NILIULIZA HIVI



"Katika wilaya ya Nyasa tuna Vituo vinne vya Polisi. Lituhi, Tingi, Liuli na Mbamba Bay. Sisi ni wilaya iliyopo mpakani, tunapakana na nchi mbili, Malawi na Msumbiji. Ni kwanini hadi leo Jeshi letu halina huduma za kutosha wilayani humo?
Alichonijibu Msemaji wa Jeshi la Polisi, Barnabas Mwakalukwa; “Ni kweli hilo, lakini wilaya hiyo kama zingine zisizo na vituo, pale pasipo na vituo tunatumia Walinzi wa Mali na amani wa Kata. Hawa wanafanya kazi kwa niaba yetu. Lakini mfumo unaokuja utatatua hilo,".
Miye swali langu ni hilo, labda wakati mwingine nitakuwa na jingine.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako