
Ryan Herman Tutuki akiwa katika Duka la Vitabu la TPH Bookshop katika mtaa wa Samora Avenue, jijini Dar es salaam. Mtoto huyo anapenda vitabu na alipelekwa hapo kama sehemu ya kumburudisha. Wahenga wanasema motto umleavyo ndivyo akuavyo.Kongole kwa wazazi wake, Herman Tutuki na Teddy Krekamoo.
No comments:
Post a Comment
Maoni yako