November 15, 2017

HALI YA ZIMBABWE LEO



1.Wanajeshi wamesambaa mitaani na vifaru jijini Harare. 
2.Kituo cha Televisheni cha Taifa (ZBC) limedhibitiwa na Jeshi, na wamekitumia kutoa taarifa.

 
3.Wazingira barabara zote zinazoingia katika ofisi za serikali.
4.Jeshi limesema hayo si mapinduzi bali mambo ya kawaida.
5.Kwa mujibu wa Jeshi hilo, Rais Robert Mugabe na familia yake wako salama.
NAKUMBUSHA TU
Emmerson Mnangagwa (Makamu wa rais aliyefukuzwa karibuni), aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama ya Zimbabwe. Ni Jasusi  anayekubalika Jeshini pia.
Jenerali Chiwenga liwahi kusema “Zimbabwe si mali ya wanasiasa, ina wenyewe waliopigana vita (Maveterani) za ukombozi. Wanasiasa ni watu wa kupita tu, wamepewa kazi, waifanye,”

No comments:

Post a Comment

Maoni yako