November 11, 2017

KAROTI

Rangi halisi na ya asili ya karoti ni rangi ya dhambarau kama inavyoonyesha pichani. rangi ya sasa ya karoti ni matokeo ya Uhandisi wa vinasaba (Genetic Engineering) uliofanywa na wataalamu wa kilimo nchini Uholanzi. Rangi chungwa (orange) ilichaguliwa kisiasa kuwa rangi inayowakilisha taifa hilo la Uholanzi mara baada ya kuwa huru kutoka kuwa koloni la Hispania mnamo karne ya 16 kuelekea ya 17. Leo duniani kote karoti zina rangi ya chungwa lakini hii ni matokeo ya siasa tu za Uholanzi. 
Karoti za asili kabla ya kufanyika Uhandisi wa Vinasaba katika mimea nchini Uholanzi.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako