November 10, 2007

chiulu,mtipwili na linda

ni vijiji vinavyoshabaiana na vingine kwa kiasi kikubwa.Kakitika vijiji hivi tunaweza kusema kwamba maeneo yake makubwa yanatawaliwa na mashamaba makubwa ya mpunga kama ilivyo kwa vijiji vingine.Kakatika hali hiyo watu wengi wa maeneo haya wanashabihiana na watu wa malawi kwaniu hufanana kwa mambo mengi sana.kuanzania lugha,maisha halisi ya kila siku.maeneo haya ieleweke kwamba yanakaliwa na watu wenye kuishi kwa mila na desturi moja kama vijiji vilivyo hususani katika afrika yetu.biashara ni kama vijiji vingine .mamabo mazuri yanakuja maana nimejaribu kukusanya yale yote toka zama za ukoloni na wamisionari mpaka sasa hata wakati wa vita vya wangoni dhidi ya wanyasa na makabila mengine ya mkoa wa Ruvuma.

1 comment:

  1. NIMEIPENDA SANA HIYO MCHAMBUZI NA MKUSANYAJI HABARI
    ubarikiwe sana kamanda,kumbe inawezekana

    ReplyDelete

Maoni yako