November 19, 2007

karibuni nyasa

Naam ni majukumu tu yananifanya nisiandike hapa kwani binadamu tuna shughuli nyingi za maisha yetu.Nayasa yetu bado nipo nyasa tu.Kwakuwa ni maeneo mengi yanahitajika kujulikana katika shajara hii lakini nimeona sehemu chache muhimu zaidi zijulukane mapema.Hata hivyo nyasa yetu ni nzuri tu kwa kilasehemu ambazo ni mhimu kujulikana.Nyasa kwa ufupi wake ni nzuri na hali ya hewa inavutia wengi hususani wajin**** wa toka ughaibuni.Naam ni wakati ambao hata wageni pia huona fahari kuwa katika maeneo haya,hata hivyo hivi karibuni tutaona maeneo muhimu zaidi katika ukanda wa nyasa

1 comment:

  1. lakini hayo majukumu yasikufanye ukatukosesha uhondo hapa kwani ulipoanza ulijua kutakuwa na majukumu na hili ni jukumu mojawapo

    Janeth

    ReplyDelete

Maoni yako