February 24, 2008

SIMAMISHA.KILA KITU SOMA FALSAFA HII

"Elimu siyo shahada wala cheti,ni uwezo wa kuchambua,kufikiri kwa njia pana,kuwa mbunifu,kuuliza maswali,kuwa jasiri,kujiamini,kujua jinsi ya kujifunza zaidi,kupanga mambo vizuri,kupima,kuhoji,kuweza,kutatua matatizo ambayo hujawahi kukabiliana nayo".Vipi ndugu yangu Dada JANETI unaonaje hayo na ndugu yangu Dada SUZI pale chuo kikuu cha Mwalimu Nyerere unaonaje hii.Simamisha kila kitu kwani usiposoma basi unafukuzwa katika ulimwengu huu au kusoma blogu hii{natania}.kazi kwenu wanazuoni hasa Ndesanjo

4 comments:

  1. habari kazi nzuri napenda sana blogu zako. yasinta sweden

    ReplyDelete
  2. asante dadangu,naamini utazidi kusoma blogu hii kwani ni matunda ya mwalimu wangu Ndesanjo Macha


    markus a.k. mnyasa

    ReplyDelete
  3. elimu ni kitu muhimu sana lakini isiwe chanzo cha kukat tamaa shauri ukikosa cheti anza sasa mapinduzi afrika yetu

    ReplyDelete
  4. Watu hudhani kila jambo linapatikana darasani kumbe kuna mengine yanapatikana nje ya darasa

    ReplyDelete

Maoni yako