June 08, 2008

Hatujashindwa Tunasonga Mbele kama Hivi...

Ni kweli Timu yetu ya Taifa imefungwa jana na Timu ya Cape Verde bao moja, lakini haimaanishi kwamba tumeshindwa,tutashangilia na kujionea fahari ya timu yetu yaTaifa 'TAIFASTARS' kama hivi,tena kwa moyo mmoja,upendo mmoja,amani moja na juhudi Moja wala siyo The Philosophy Of loser.Tunaimanai na Maximo Wetu tuna imani na kila mchezaji kwani hao ndiyo mtaji wetu wa kuelekea kuwa na kina Zidane wetu,saa zaja,wakati waja twende pamoja jumamosi tukawashangilie kaka zetu vijana wenzetu dhidi ya kina Eto'o wa Kameruni.....Twende pamojaaaa iwe kwa upendooooo .....marafiki zaidiiiiiii..

1 comment:

  1. markus mpangala22 June, 2008

    Tunasonga kwa mwendo wa karatasi au kinyonga vyovyote ipo siku tutazidi kusonga na kuwafunga hata Brazil ndugu zangu au hamuamini....ngojeni ipitemiaka kumi mtaona

    ReplyDelete

Maoni yako