
Sema unaloweza lakini kwetu nyasa hapa hakuna swala la kulalamika kwamba hakuna ajira kama hao watu wa mjini.Nani atakufundisha kupenda kazi yako kama huijali na kuiheshimu.Mwangalie anavyotoa msuli wa kujituma katika kazi.Hii picha imenikuna sana,nimetabasamu sana wakati naweka kwani kuna jamaa hapa anachungulia ninavyoandika na kuiweka anashindwa kuniuliza.Lakini akiuliza tu nitamwambia amesahau kama yupo nyasa nini?Niseme nini jamani......
hata mie mpaka nimezimia hiyo misuri. Sijui nipeleke maombi mh .....
ReplyDeleteyaani huyu jamaa anajituma hadi naona kama anataka kuvunjika kiuno ebu muangalie mbona kimepindasna.hivi hawezi kuanguka hapo eti jamani
ReplyDelete