June 05, 2008

Lizombe Limeumana hapa utasema nini

Usistaajabu kwani nimeondoka kidogo nyasa na kuingia mjini hapa na kukutana na picha hii muhimu sana kwa watu wa Ruvuma na wanyasa wote.Sina mengi ila tumshukuru kaka Richard Mwakienda kwa picha hii

1 comment:

  1. hapa bwana ndio umenifikisha kwani binafsi napenda sana ngoma za asili na pia hivi nisemavyo ninamsikiliza ndugu yetu bwana Adelgot J Haule nadhani unamjua safi sana. nipe habari zaidi za Ruvuma

    ReplyDelete

Maoni yako