June 04, 2008

Mwenye Mwanya aje,Washashi wanamtaka

kama una mwanya njoo nyasa utakutana na washashi pale Matema Beach nje kidogo ya bandari ya Itungi.N wengine ninawajua...unataka nikutajie?Sitaji mapaka unipe kwanza rushwa si unajua siku hizi rushwa ni kama kulamba asali,utamu ukizidi sana....natania bwana washashi wapo kibwena

2 comments:

  1. Anonymous22 June, 2008

    kaka nawasaka sana hawa washashi vipi nitawapaje au unaweza kunitafutia mmoja huko nyasa maana naona umajikita nao sana

    ReplyDelete
  2. markus mpangala22 June, 2008

    Adabu muhimu sana kaka,sasa nitakutafutiaje wakatia hata hatujuani wala kutambulishana ili tusaidiane?weka wazi jina lako na na mawasilianao yako.Mimi yangu utayaona mwisho wa blogu pale kuna picha ya ziwa na jamaa yupo kwenye mtumbwi.Niandikie unachokitaka au vipi kaka?

    ReplyDelete

Maoni yako