June 06, 2008

Timu Ya Taifa Imeondoka Leo

Timu ya taifa imeondoka leo kwenda nchini Cape Verde kwa mechi ya kuwania kufuzu kwa kombe la dunia.Hapa ni sehemu ya mashabiki wakishangilia timu ya taifa katika mechi dhidi ya Malawi iliyofanika hivi karibuni

2 comments:

  1. Anonymous06 June, 2008

    Wanyasa wamesikia maombi yako na pia hapa kesho wataanza kucheza mpira kugombea ushindi wa ulya na wengi wanasema Sweden watashinda kwa hiyo hata Timu ya Tifa watashinda tu Mungu atayasikia maombi yetu.

    ReplyDelete
  2. markus mpngala22 June, 2008

    Raha kuipendanchi yako kama wanavyoonekana ni jambo zuri sana kwa watanzania siku hizi kuwa hivi

    ReplyDelete

Maoni yako