June 06, 2008

Wanyasa Tumuombe mungu Tushinde

Huyu ndiye Mrisho Ngasa (mwenye jezi ya bluu)ambaye tutamkosa katika mechi ya Jumamosi hii tarehe7/6/2008 nchini Cape Verde katika mechi ya kuwania kufuzu kwa kombe la dunia.Tutamkosa sana kwani mechi iliyopita hakuacheza baadaya kuumia nyonga mazoezini.ni mchezaji mahiri na mwenye msaada mkubwa kwa timu licha ya umri mdogo alionao.Tuloge na kuwanga kichawi kinyasanyasa

1 comment:

  1. Anonymous22 June, 2008

    kijana anakimbia huyu kwa kasi ya ajabu sana hebu mwangalie kwa umakini

    ReplyDelete

Maoni yako