June 02, 2008

Mnyasa Kazini utamwambia Nini........Hapo vipi?

Mwangalie mwanaume wa shoka akiwa amekaza msuli kwa kupata kitoweo.Huyu ndiye mnyasa yaani hapa huwezi kumwambia aache ili akaishi maisha ya mjini ya kuuza machungwa eti umachinga..acheni hizo.Mh msije mkasema nadhihaki lakini ndiyo ukweli hamuuzi maji machafu na kuadi ni maji safu ta kunywa?eeeh bvasi jamani.Ngoja kwanza kuna wakati huwa naamini kuwa maisha ya wanyasa yanalindwa sana na mola wetu.Watu wanaweza kuishi katika hali ngumu lakini wale husikii magonjwa ama milipuko ya magonjwa kama maeneo ya mijini...kazi kwetu

1 comment:

  1. Ni bahati kubwa kuwa mnyasa.Baba kuvua sami na mama kungoa mihogo. Baada ya hapo ugali na samaki haya ndo maisha. Mungu uzidi kuwalinda wanyasa wazidi kuwa na afya njema.

    ReplyDelete

Maoni yako