December 24, 2009

XMASS+MWWAKA MPYA= KARIBUNI NYASA


Nina raha isiyokifani, labda kaka Fadhi nipe masjhairi nighni, au Godwin nipe fani na maudhui. Nirudi wapi tena au kwa mtakatifu.... na pia niende wapi kwa wa panyumba wenga huko ughaibuni...ulama? Niende wapi Fadhi nipe jiji nilipendalo la Mbeya?
WAJUA NIMEIBUKIA WAPI. Nipo mji niupendao wa Mbeya waungwa, nipo najivinjari mitaani toak jana hapa raha sana.

Nawakaribisha nyasa kwani nadhani jumapili nitakwenda kueogelea ziwani kyela, yaani we acha tu KARIBUNI MBEYA KARIBUNI NYASA

4 comments:

 1. Heri ya X-mass nawe pia. Na uangalie huko Mbeya-Kyala utapaoogelea usiliwa na mamba...lol.

  ReplyDelete
 2. Kaka Markus
  Kwa niaba ya familia yangu na wapenda mema wote nakutakia kila lililo jema wakati huu wa sikukuu na usalama kuelekea mwaka mpya
  Baraka kwako

  ReplyDelete
 3. Nahukuru kaka Fadhi, nawe baraka za mwenyezi mungi zikifikia.......lakini sijanyoa msiba wa wa VUKANI nipo kwenye maombelezo.

  jana nimejimwaga sana haba kyela, yaani unaogelea hadi mimacho inakuwa kama wale wazee wa musoma eti wachawi Lol

  ReplyDelete

Maoni yako