
Sifa ya kwanza kula ndugu yangu, usisifiwe kwa kuongea. Utaongea kwa umahiri kama hujashiba? Utafanyaje kazi na iwe bora kama hujashiba? Ukitaka kusoma falsafa lazima ushibe, huwezi kusoma mistari ya MALCOLM X kama hujashiba vinginevyo utakimbilia kwa mbembelezaji Martin Luther King Jr. Unashiba halafu unakamata mistari ya Malcolm X halafu unapandisha mzuka sawia. Usione vyaelea................
na ukisiba soma mistari yangu KUHUSU UTATA WA WILLIAM SHAKESPEARE hapa
Mwenga kyani henu kuninogesa nahaaaaaaaa mawu yoyoyoyoyooooooo.
ReplyDeleteHii menu inavutiaa
ReplyDeleteAhsante kwa kutembelea kibaraza changu. Karibu tena na tena
ReplyDeleteMenu kubwa hii Mkuu! mie fulu kutoka udenda!:-(
ReplyDeletekaka simon najua hapo sijaweka BIA
ReplyDelete