June 22, 2008

Uhondo Wa Kambale Huo Hapo

Toka babu mpaka mjukuu bado wanalihusudu sana KAMBALE.Ni samaki muhimu sana hapa nyasa ndiyo maana watoto wanaselebuka na kukunwa na samaki huyo.

1 comment:

  1. HAKUNA SAMAKI NINAYEMPENDA TOKA ZIWA NYASA KAMA KAMBARE, sawa mbufu anathamani kubwa ila kambare mtaaaaaaaam na anamafuta balaaa.

    ReplyDelete

Maoni yako