July 07, 2008

Nashindwa kusema Labda nitakosea

Hivi unajifunza nini unapotazama picha kama hii.Kuna lolote unalojifunza?Niambie wewe unayeiangalia mimi sijui.Lakini jiulize wale wezi walioongozwa na yule jamaa anamvi anatoka mondulini...au monduli nini sijui.Jikomboe sasa

2 comments:

  1. Anonymous08 July, 2008

    inawezekana ni ungonini na mwamume wa kingoni aliyeelimia anamsaidia mkewa kuokota kuni pia shamba nzuri la mahindi na matembele au

    ReplyDelete
  2. Mimi nimejifunza kwamba hiyo ardhi ina opportunity kubwa sana kwenye kilimo kwa maana kwamba ikitumiwa vizuri basi mtu unaweza kustawisha mazao hasa mahindi kwa kiwango cha ajabu.
    Tatizo serikali yetu inaongea na kuchonga tu bila vitendo, umaskini tulionao hatustahili.

    ReplyDelete

Maoni yako