July 06, 2008

Mwalimu wangu Ndesanjo

Nimemkumbuka mwalimu wangu ndesanjo,Nimemkosa sana kila nikifikiria namna ninavyoringa katika blogu hii najikuta nataka kumwuliza mengine mwalimu wangu kwani bado yananipiga chenga.Njoo mwalimu wangu mwanafunzi wako nimekukumbuka sana....kuna teknolojia zingine zinanishinda....nifanyeje...ebu mwangali hapa alikuwa kwenye warsha ya mambo ya teknolojia India

4 comments:

 1. It could challenge the ideas of the people who visit your blog.

  ReplyDelete
 2. To the author of this blog,I appreciate your effort in this topic.

  ReplyDelete
 3. Markus kwa nini usimtafute. mie ningefanya hivyo

  ReplyDelete
 4. markus mpngala06 July, 2008

  Haya ngoja nimwandikie waraka pepe sasa hivi....ile anuani yake ngapi hebu nikumbushe dada...umesahau...oooooh nimeikumbuka ngoja nimwandike ....

  ReplyDelete

Maoni yako