DMCT-MBEYA

DMCT-MBEYA

21 September 2008

haaa haaa haaaa sicheki nafurahia ngoma

angalia uone utamu wa kupenda utamaduni wako, si unaona ilivyo na raha? kazi kweu msiopenda utamaduni mtamu kama wa kiafrika.

2 comments:

  1. Hakuna mtu asiyependa utamaduni wa kiafrika kama yupo basi mjinga. Lakini hujasema hiyo ni ngoma gani

    ReplyDelete
  2. wamwali wavidumbilo awo wovino uweme.

    Zikomu.

    ReplyDelete

Andika maoni yako