September 21, 2008

hapo vipi? hapo sawa? mimi sijui

naam ni masika katika barabara za kwenda ghuba tamu sana ya Mbamba bay. hivi unajua kila nikikanyaga mbamba bay najihisi kuzaliwa upya? kwanini-kwasababu ya sababu na nakupenda sana

1 comment:

  1. hapo kazi ipo. Nilikuwa napanga nienda kumbamba bay wakati nikiwa TZ sasa basi nimeghaili maana litabaki jina tu kwa hali hiyo

    ReplyDelete

Maoni yako