September 21, 2008

haswaaaa na mchana kama huu njaa

hapa kazi hakuna kuremba

3 comments:

  1. hapo rafiki yangu inabidi ugali uwe mkubwa sana tena wa muhogo. maana hao samaki wakichomwa halafu weka chumvi na pilipili mmh kazi ipo mbona utajiuma kidole

    ReplyDelete
  2. Mambo hayo kaka ni makubwa sana yanahitaji makamuzi ya nguvu sio mchechozi

    ReplyDelete
  3. huyo mbelele umenikumbusha kwetu ruhowo/ruhuhu huyo mpate kwa muda wa mchana plus kondowori ebwanaa eeeee

    ReplyDelete

Maoni yako