October 29, 2008

natabasamu jamani RAHA za hapa nyasa

tazama tabasamu hilo linavyoukita. tabasamu linakuita bila kinyongo. kaja huyu je wewe uliye jirani? karibu nyasa

2 comments:

  1. we tabasamu tu ngoja uliwe na mamba sasa hivi jiziuke tu na hilo tabasamu. Oohh angalia nyuma mamba huyo. Danyanya toto kula kanda mbichi.....

    ReplyDelete
  2. wivu jamani mmeona??? yaani hapa hawakai wala hawasimami njooni nyasa msihadaike na huyu hata kuogelea taabu kweli nimemfundisha mpaka nimechoka yaani kila siku mamba mamba mamba .nk

    ReplyDelete

Maoni yako