October 29, 2008

Raia mwema: muungwana ni vitendo

WATU WANGU, WADAU WANGU, WAPENDWA WANGU= AMANI IWE NANYI.

Nawashukuru nyote mnaonisoma na kuniunga mkono. Lakini pia niwashukuru hawa waliopo ughaibuni kwa kutumia muda wao kunipa pongezi, ingawa ni muda mrefu. Leo nasema ASANTENI SANA.
1. JOSEPH MBELE, www.josephmbele.blogspot.com & www.africonexion.com
2. RAITON MBELE www.raitonambele.blogspot.com
3. ROBERT NGALOMBA.

NAWASHUKURU SANA KWA KUNIFUATA KATIKA BLOGU YANGU. wote mnaonisoma nawapenda sana. Na ikiwa unadhani nimesahau jina lako basi naweka ................................... jaza jina lako. Au vipi waungwana!
PAMOJA DAIMA!!!!!

1 comment:

Maoni yako