October 25, 2008

raha+utamu+upendo= nyasa

karibuni lakini wale walevi hatuwataki dada Yasinta na mwenzake kaka Simoni. sharti mje mnywe komono na pombe zote za huku lakini hizo za mujini hatuzitaki

6 comments:

 1. Ha ha haaaaaa kumbe we unakunywa komoni nimekushika basi kama komoni inapatikana poa poa tena sana.

  ReplyDelete
 2. Ila kweli kaka Nyasa pazuri...

  Binafsi nakumbuka nilipokuwa songea.Nilibahatika kufíka kijiji kimojo jirani na Ruhuwiko nakunywa Myakaya na kwenda Lizaboni..Yasinta anapakumbuka wanauza nyama flani.

  siku njema Mpangala

  ReplyDelete
 3. aahh Ndiyo pale ni bucha tukiwa Ruhuwiko huwa tunajipatia KITIMOTO na pembeni kuna bar tunajipatia moja baridi

  ReplyDelete
 4. umeanza maswali! najua hapo yote unataka ulanzi,komoni,lihutapahi,lihivi, au nikupe na wanzuki, wine? Tongwa hapa ndi kwene sema kingine. lakini msije na pombe huku mtaharibu kizazi chetu bureeeeeeee ha ha ha ha nacheka lakini nimekunja uso hadi chui anaogopa

  ReplyDelete
 5. LIZABONI makulaji ya mishikaki sana, lakini hii tabia ya kusema moja baridi moja moto siipendi. hivi we dada Yasinta kulewa huchoki? juzi tumekubeba kwenye machela, wiki iliyopita tukakubeba kwenye mkokoteni nguo zililoa zote yaani ,........ooooooiiiiii

  ReplyDelete

Maoni yako