October 28, 2008

tafadhali ukiwa na njaa kali toa taarifa

7 comments:

 1. mimi hapa nina njaa kali tena kali mno je nitapata nini

  ReplyDelete
 2. usije na njaa zako za pombe maana najua wewe na kaka Simon walevi sana kwahiyo msije mkamaliza viroba vyetu vya vyakula na samaki. Hapa ni aple Chizumulu mpaka wa Kyela(Tanzania) na Malawi. pna wavuvi mahiri sana nyasa yetu yaani ..... we acha tu

  ReplyDelete
 3. @Markus:Hawa samaki watamu kweli na bia:-)

  ReplyDelete
 4. Nakubaliana na kaka simon tena ile kapili weeeeeee

  ReplyDelete
 5. samahani jamani, nawaulize kitu? nauliuza niwaulize kitu? hivi msipokunywa BIA mnakufa? ha ha ha ha ama kweli ndiyo maana mnachafua hewa kwa katika viwanda vyenu vya kutengeneza hizo bia. Poa kama mnadhani samki mtamu kwa BIA kunyweni lakini angalieni msianguke

  ReplyDelete
 6. kwa nini tuanguke?

  ReplyDelete
 7. mtaanguka kwasababu hamtakuwa na nguvu halafgu mtajikuta mnahamu ya kuacha KONDOMU

  ReplyDelete

Maoni yako