October 12, 2008

smaki aina ya ngorokoro

4 comments:

 1. huyo samaki ngorokoro nikila nakuwa na madoa kama yeye

  ReplyDelete
 2. acha kutamani dadangu we njoo tu nyasa uone mambo lakini angalia kama una mume huku unaweza kumsahau kabisa yaani mambo swadakta

  ReplyDelete
 3. mmh sijaolewa kwa hiyo itakuwa safi kula ngorokoro kila siku na kufanana naye itakuwa kali

  ReplyDelete
 4. acha mambo ya kufanana na huyo we njoo tu ujionee mambo ya kinyasa yaani swadakta. samahani wewe na kaka Simoni walevi tafadhali mkija msilewe tutawafanya kama RENAMO walivyokuwa wakifanya enzi zileeee. yaani wanakuuliza unataka kununa au kucheka? kununa wakakufunga na kufuli, kucheka wakata lips zote meno nje nje ha ha ha ha ha ha ha

  ReplyDelete

Maoni yako