October 31, 2008

tunaweza kutunza mazingira yetu siyo samaki tu

4 comments:

  1. naomba unakumbushe hivi hapa wapi pale

    ReplyDelete
  2. angalia picha unataka kujua nini, si uende hukohuko. jamani mwambieni huyu aende akaone huko nyasa

    ReplyDelete
  3. nitaendaje wakati sikujui? kama hutaki kutembelewa acha tu

    ReplyDelete
  4. mbanishana nini niambieni shida yenu

    ReplyDelete

Maoni yako