October 11, 2008

ufukweni kijijini kwetu LUNDU

hapa ni kijijini kwetu LUNDU. halafu ukiangalia nembo ya LUNDU upande wa kulia utaona watu wanafurahi sana ni utundu mdogo. sasa hapa ndiyo kwangu yaani kijiji nilichozaliwa.karibuni msije mkaja na pombe hatutaki

6 comments:

 1. hapa ndiyo ufukwerni kwetu lundu hapa nyasa kila kitu bomba tu. marufuku kuvaa vilambada na kuogelea. hapa ni mwendo wa kuogelea uchi tu au mnabisha? mm mtasema nimepungukiwa akili jamani hapo ni mwendo wa kujibudisha na thawabu hii toka kwa maulana

  ReplyDelete
 2. huko ndio sehemu ya kwenda maana mtu utakuwa huru.Mmh raha kweli ngoja nije huko na nayaacha haya manguo ya kuogelea. mwe sikujua kama kuna sehemu kama hizi ngoja nije naona nachelewa....nibwela

  ReplyDelete
 3. ila je hakuna mamba kwani mimi na mamba hatuelewani kabisa

  ReplyDelete
 4. najua walevi waoga sana lakini wakilewa hawaogopi kujinye***. ha ha ha ha ha njoo hakuna mamb wala babu yake mamba. au umekumbuka yule mzee aliyekuwa akifuga mamba pale Liuli, halafu mamba wake wakizaa anaweka matangazo kwamba tafadhali msiogelee sana huko ziwani wanangu wamezaa? hakuna siku hizi mambo mswano tupu meno 64

  ReplyDelete
 5. hapana ila wakatinaishi Lundo kuna babu mmoja aliliwa mguu wake na mamba. alijiita mzee mamba na mguu mmoja tangu hapo naogopa sana mamba

  ReplyDelete

Maoni yako