October 07, 2008

weweeee mambo iko ukuuuuuu

jamani eti watu wa mjini nao wanabanjuka baharini. waone kwanza wanaogelea maji ya chumvi wakati kwetu maji salama kabisa

3 comments:

  1. Kumbe we ujui ya kwamba maji ya chumvi yanatoa uchafu wote mwilini pia unaelea kwa urahisi kwa hiyo ndugu yangu inabidi uihamishie hiyo nyasa yako huko kwenye maji ya chumvi. ha ha ha ha.

    ReplyDelete
  2. Huku tauni ni ovyo sana natamani nikaishi kwa babu kwa sababu huku tukifua nguo kwa sabuni ya mche hakuna mapovu hata kidogo

    ReplyDelete
  3. mmm ndiyo lakini juzi nilikuwa pale upanga west njia ya ya seaview nakwambia nilizurura maeneo ya beach kwa kutembea peku maana tatizo langu nyayo huwa zinauma sana kwahiyo huwa navaa sandozi muda mwingi. nilitembea vila halafu niliporudi nyumbani hoi usingizi na nikajikuta poa kabisa nikatinga viatu kisha chao

    ReplyDelete

Maoni yako