November 26, 2008

BREAKING NEWS: inaendelea.......

Kila mtu amesikia kuhusu mashtaka ya mawaziri wa zamani wa serikali ya Mkapa, bwana Dani Yona na Basil Mramba. haya ndiyo mashtaka dhidi yao.

BASIL MRAMBA
( alikuwa waziri wa fedha katika utawala wa Rais Benyamini Mkapa)
ANASHTAKIWA KWA MAKOSA YAFUATAYO:
1.KUISABABISHIA SERIKALI HASARA.
2.KUDHARAU MAPENDEKEZO YA TRA(mamlaka ya mapato)KUTOTOA MSAMAHA WA KODI
KWA KAMPUNI YA MS/STEWART YA UINGEREZA OKTOBA 10 2003 ALITOA NOTISI YA SERIKLI YENTE NAMBA 423 MWAKA 2003.
3.OKTOBA 15 2004 ALITOA NOTISI NAMBA 424 DESEMBA 19 2003 YA MSAMAHA WA KODI KWA KAMPUNI HIYO.
4ANATUHUMIWA KUTOA NOTISI YA SERIKALI NAMBA 497 MWAKA 2004 OKTOBA 15 ILI KUOTOA MSAMAHA WA KDI KWA M/S ALEX STEWART KINYUME NA MAPENDEKEZO YA TRA.
5.NOVEMBA 15 2005 AKIWA MWAJIRIWA WA SERIKALI ANATUHUMIWA KUTOA NOTISI YA SERIKALI NAMBA 377 YA 2005 KURUHUSU MSAMAHA WA KODI KWA KAMPUNI YA STEWART.
6.ANASHTAKIWA KWA KURUHUSU KUSHINDWA MAJUKUMU YAKE NA KUSABABISHA HASARA KWA SERIKALI SHILINGI 11,752,350,148.
7.ANATUHUMIWA KUTOA NOTISI NAMBA 423 NA 424 MWAKA 2003,NAMBA 497 NA 498 ZA MWAKA 2005 AMBAZO ZILIISAIDIA KAMPUNI YA ALEX STEWART KUTOLIPA KODI NA KUISABABSISHIA SERIKALI HASARA
8.DESEMBA 18 NA 19 MWAKA 2003 ALITOA NOTISI NAMBA 423 YA MSAMAHA WA KODI KWA KAMPUNI
HIYOHIYO

DANIEL YONA
(alikuwa waziri wa nishati na madini utawala wa Mkapa)
1.KUACHA UDHIBITI WA MADINI UFANYIKE KIENYEJI BADALA YA KUPELEKA KWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
2.UZEMBE NA KUISABABISHIA SERIKALI HASARA KAMA KWA BASIL MRAMBA.
3.KURUHUSU KAMPUNI YA M/S STEWART NA KAMPUNI TANZU YA M/S ALEX STEWART(ASSEYERS) GOVERNMENT BUSINESS CORPORATION KUSAINI UCHIMBAJI MADINI.
4.MATUMIZI MABAYA YA OFISI WAKIWA WAAJIRIWA WA SERIKALI.
5.KUTIWA SAINI KWA MKATABA WA NYONGEZA WA MIAKA MIWILI KWA KAMPUNI YA M/S STEWART KATI YA JUNI 14, 2005 HADI JUNI 23 JANA KINYUME CHA SHERIA ZA MANUNUZI YA UMMA NA SHERIA ZA MADINI.
6.MRAMBA NA YONA WANATUHUMIWA KUTUMIA VIBAYA MADARAKA YAO KATI YA MACHI 2005 NA MEI 2005 KUMWALIKA DK. ENRIQUE SEGURA WA KAMPUNI YA M/S STEWART KUKAMILISHA NYONGEZA YA MKATABA KABLA YA TIMU YA SERIKALI HAIJAANZA KUFANYIA KAZI SUALA.

NB; waungwana si mnakumbuka Mramba alisema tule NYASI ili ndege ya Rais inunuliwe, ha ha ha ha wala siwahurumiii. Na huyu Yona si ndiye aliyenunua Kiwira goldmine pale Kyela. hupajui? pale njia panda kituo cha ushirika.
ITAENDELEA ..............BREAKING NEWS USISHANGAE MNYASA NAPATA WAPI..... DUNIANI HATA UKIOGA BAFUNI TUNAKUCHUNGULIA TU..

3 comments:

  1. Safi sana, huu ndio ujasiri unaotakiwa kwani kila mtu anasema nani aanze kufichua au kusema ni nini viongozi wetu wanafanya. wote tunaogopa. Lakini sasa umeaanza basi atatokea mwingine ambaye atataka kuwa nawe. Kazi nzuri. Napi asante kwa habari

    ReplyDelete
  2. kazi bado sana tunahitaji ujasiri wenye hasira ili wezi wajue tunahukia ushenzi wao kama hawa walivyokamatwa na upumbavu wao kwa kutona wananchi washenzi. NA BADO

    ReplyDelete
  3. hapo hapo Markus Uhuru daima. hivi ndivyo inavyotakiwa haya ongeza hasira za kinyasa kumbe walikuwa hawajui kuwa wanyasa wana hasira.

    ReplyDelete

Maoni yako