December 04, 2008

kwa watu wangu wa BIA na ULANZI

naam kwa watu wa toka nyasa mpaka mjini, wote mliopo juu na chini ujumbe utafika. wale wangu wa BIA kaka Simon na dada Yasinta yaani wapenda BIA naona huu ulaji ndiyo zenu sana? ha ha ha najua wanywaji hapa kwetu wanaita KAPILI hasa wale samaki waitwao NTAKA na vipande vya KAMBALE. ooooh kuna wale wapenzi wa kufakamia misosi ya kwenye sherehe basi hii ni ZAWADI yenu ila wale wanywa BIA wangojee yao.

4 comments:

 1. wale wapenda makulaji na walaji wazuri wa kwenye sherehe, mpoooooo hya karibuni mle lakini huu uchafu haupo nyasa wala hatuhiytaji kabisaaaaaaaa ulaji na kukaangiza kama hivi tusije tukatapika

  ReplyDelete
 2. @Markus: Labda bia yenyewe ndio chakula!:-)

  ReplyDelete
 3. ha ha ha lelo nihekili kweli je kuna lizombe pia maana kunywa tu bila kuselubuka hakuna maana ha ha ha haaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 4. kaka ):Simon tulia kwanza, BIA utapata lakini uwe na subira maana sasa tupo mtaani hakuna shule wala shule. umenisoma sasa

  ReplyDelete

Maoni yako