March 12, 2010

SAWA NI BIASHARA MBAYA, LAKINI ............................

Ninachoajaribu  kwa taswira ya ukahaba, bali mambo mengi ya utalii na mikutano mbalimbali.
Masuala ya kibiashara na mengineyo.

Lakini hili kwangu siyo geni ila sikuwahi kujikita kulijua zaidi kama nilivyojikita sasa, natambua jirani zangu pale flats za mtaa wa Ohio wanaelewa kinachojiri au wale washkaji wa Undali mitaa ya mahakama ya ardhi wanajua ninachoongelea hapa.

Nashukuru maoni ya wasoamji lakini nasema hivi jamani haya ni matokeo ya tatizo na aidha kifamilia au mfumo mzima wa maisha ya jamii yetu. Mfumo wa jamii yetu ninamaana kwamba kutokana na muundo wetu wa kuihsi na kujichagulia viongozi.

Najua ukahaba haupo hapa pekee, na bahati mbaya dakika chache zijazo narejea nyumbani. Sasa nimeongea na wengi sana hadi nikaambiwa 'MARKUS UNAPENDA SANA NGONO' lakini hapa unajivunga tu. Jawabu langu ni ndiyo napenda kupindukia lakini je siwezi kuwa na SPIDI GAVANA?

Haya wanasema ni biashara mbaya ya ukahaba lakini inarahisha kwani unapata wateja kwa uhakika zaidi kutokana na kuingia kwa wageni na kutoka kwao, na wahitaji ni wengi katika miaka ya karibuni toka wenye wake zao au wanawake walioolewa kwani wapo wanaume wanaowastarehesha wanawake ambao wengine wamekuja huku kuwakuna wanawake wazima na akili zao tena wake za watu wanaheshimika katika maofisi ya umma nchini.

sasa hawa wanasema maisha yanabadilika na biashara ya ukahaba inashamiri kwakuwa wimbi la wanaume kuhitaji huduma hiyo kwani wanaume wengi sasa wapo wasiohitaji kuwa na wanawake wa kudumu hivyo kuhitaji huduma hii ya ukahaba. Sasa sijui wewe unasemaje muungwana kama unaambiwa ni biashara mabaya lakini inarahisisha maisha yao.......

4 comments:

 1. Yani inasikitisha sana !Kuna wengine familiy walizo tokea ni zashida sn na kuna wengine awana Ata wazazi wakuwaudumia ktk hii ndunia wala ndungu wa pande zote mbili akuna anaye wajali. na wengine kwao Utakuta mama alisha kuaga Kahaba baba jambazi kwaiyo nikama kuridhi.

  laki dunia ni yetu sote na akuna aliye mtukufu wala alie na husalama wa maisha yake yakwamba ataishi miaka atakayo yeye,nimungu tu ajuaye yote hayo.

  ReplyDelete
 2. Hingelikua kazi kweli kama duniani wote tunge kaa maofisini nani angeli beba mabox?

  ReplyDelete
 3. Ni vigumu sana kwa wanaume walio wengi kuacha tabia hii ya kuwatafuta wanawake hawa makahaba lakini hili lingewezekana lingekuwa ni suluhisho maridhawa na wanawake hawa wangelazimika kutafuta namna nyingine sahihi ya kujipatia kipato.

  ReplyDelete
 4. Tukumbuke tuongeleacho inasemekana ndio profesheni ya kwanza DUNIANI.:-(

  Mimi naamini nivigumu kufuta hii profesheni ila cha muhimu ni kujaribu kuwawezesha wahusika kuifanya kwa usalama zaidi wao KIAFYA na kikazi.

  Maisha magumu na kuna ambao hii ndio shughuli pekee ambayo wanaijua. Na kama twajua kuwa uwezo wa kuwatafutia shughuli nyingine ni mgumu basi angalau ni bora kuwasaidia angalau waifanye shughuli yao kwa uangalifu kwa kuwa DEMAND ipo na kwenye DEMAND ni vigumu kuua SUPPLY.:-(

  Ni wazo tu.:-(

  ReplyDelete

Maoni yako