October 30, 2012

MAENDELEO NI UHAI, HEKIMA NI UHURU

Ujenzi wa Daraja la mto Ruhukei umeanza, na umefikia hatua ya kujenga nguzo. Daraja hili litaunganisha upande wa kaskazini ya Tarafa ya Ruhekei na vijiji vya kusini mwa tarafa hiyo.


Picha ya chini inaonyesha namna gani wakazi wa wilaya ya nyasa wanavyodhamira kulinda uti wa mgongo wao wa suala la uvuvi. hatua hii ni kwa sasa kutengeneza Mabwawa ya kugia samaki. Hapo chini inaonekana bwana la kufugia Samaki. 

Picha ya juu muonekano wa bwawa la samaki la vijiji vya Kiyaha na Kitanda. 


Elimu ni uhai: Jengo la Darasa ambalo ni miongoni mwa majengo matatu yaliyojengwa mwaka 2006/2007

No comments:

Post a Comment

Maoni yako