April 15, 2013

TAARIFA YA KIKAO CHA WADAU WA MAENDELEO WILAYA NYASA


Ndugu zanguni,
Nimepata ujumbe huu kutoka kwa kaka Weston Boniface Ndomba akielezea juu ya kikao cha wananchi wa wilaya Nyasa ambao wanaishi mjini Dar es salaam. Anaeleza kuwa kuna kikao kitafanyika tarehe 20th April 2013 hapo Msimbazi Center sina hakika kuhusu muda. Kikao kimeitishwa na Mkuu wa Wilaya mpya ya NYASA kujadili maendeleo ya Wilaya hiyo. Kutakuwa na Mbunge (Mh. John Komba). Kwahiyo nadhani itakuwa vyema kujongea eneo hilo kwa tarehe hiyo.

Nawatakiwa wakati mzuri

1 comment:

 1. Hi, I do think your blog might be having internet browser
  compatibility problems. When I look at your site in Safari, it looks fine
  however when opening in I.E., it has some overlapping issues.

  I just wanted to provide you with a quick heads up!
  Apart from that, wonderful blog!

  Here is my blog ... Pure Green Coffee Bean Extract

  ReplyDelete

Maoni yako