December 17, 2013

DARAJA LA KULIPIA LINDA - CHIULUNa Vitus Matembo, Mbamba Bay

Wilaya ya Nyasa inazo changamoto nyingi  kiuchumi na kijamii. Suala la Miundombinu ni muhimu na moja ya kazi kubwa inayopaswa kufanywa na wabunge kwa wetu pamoja na viongozi mbalimbali. 
Bila sh.500 huwezi vuka toka kijiji kimoja na kingine. Hao ni vijana walioamua kujenga madaraja haya ili kupata kipato kidogo. Hilo boti hutumika wakati wa kifuku (Masika). NDIO HALI HALISI, SASA TUTAFANYAJE!!!!.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako