January 29, 2014

ALIYOYASEMA DR.SLAA KATIKA MKUTANO TAR 22/1/2014 –Na Vitus Matembo, Mbamba Bay
 
Chadema ipo katika muendelezo wa sera yake ya M4C- PAMOJA DAIMA. Ametoka Iringa na amemalza mkutano amekwnda Mbinga. DR.SLAA ameambatana na Mh. Mchungaji Peter Msigwa Katibu Mkuu wa Chadema, DR.Slaa walikazia mambo manne:

1).SAFARI ZA RAIS NJE YA NCHI. Rais anatumia muda mwingi kuwa safarini, hadi sasa ametoka nje mara 358. Huku akishindwa kuja kutoa hata shukrani kwa Wanyasa kwa kumchagua. Lakini yeye kaja zaidi ya mara tatu.

2).KATIBA; Katiba si ya CCM bali ni ya wananchi wa Tanzania. CCM inang'ang'ania serikal mbili. Ila wanashukuru karibu 72% ya maoni ya Chadema yapo kwenye Rasimu ya pili ya katiba. Ikiwemo jina ya Tanganyika, na serikali tatu.

3). MAREKEBISHO DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA: Hadi sasa kuna zaidi ya watu mil.5 hawajaandkshwa kupga kura. Yaan gharama za Rais kusafiri kwnda nje zipo ila kuhudumia wananchi wa Nyasa na kutetea Demokrasia hela haipo?

4). UNYANYASAJI KWENYE RASILIMALI ZA NCHI: Wananchi wa Nyasa wananyanyaswa na ushuru mdogo mdogo, hvyo serikali iache kunyanyasa wanyasa!

No comments:

Post a Comment

Maoni yako