January 29, 2014

HABARI NJEMA KWA WADAU WA ELIMU NYASAKanisa la Anglicana kupitia wafadhili wao toka Marekani kwa mpango wa Shirika la Huduma ya jamii na maendeleo ya vijana Tanzania (SHIHUJAVIMA PROJECT) hapa Mbamba bay.
 Tayari limeanzisha shule ya Chekechea na linaanzisha shule ya sekondari mjini hapa , kwa kidato cha kwanza fomu ni shilingi 10000/= zinapatikana.
Kwa wanaohitaji Kurudia mitihani kidato cha nne na pili huduma imeaanza kupatikana kuanzia tar 28/1/2014 , ambapo fomu ni shilingi 5000/=.
Kwa taarifa kamili fika eneo la kanisa la Anglicana hapa MBAMBA BAY.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako